Friday, May 3, 2019

Video: Fahamu wanyama 5 tajiri zaidi duniani

SHARE

Je unafahamu kuwa wapo wanyama wenye utajiri mkubwa zaidi hapa duniani.
Basi hii ndio orodha ya wanyama 5 matajari zaidi, kufahamu utajiri wao, mali wanazomiliki kiasi cha pesa wanachomiliki tazama video hapa chini.
1. Mbwa anayeitwa Gunther iv kutoka Ujerumani.
2. Paka anayefahamika kama Grumpy Cat anayemilikiwa na Tabath Banderson
3. Olivia Benson huyu ni paka wa msanii mkubwa Marekani, Tylor Swift.
4. Sady, Sunnie, Laula, Lauren na Luke hawa ni mbwa wanaomilikiwa na Oprah Winfrey.
5. Kuku anayeitwa Gigoo.
SHARE

Author: verified_user

0 Comments: