Wednesday, April 3, 2019

Mbunge wa CHADEMA afukuzwa Bungeni

SHARE

Spika Ndugai amemfukuza katika Ukumbi wa Bunge Mbunge Esther Matiko (CHADEMA) baada ya Mbunge huyo kupiga kelele kumpinga Spika kutaja deni la Mbunge Lema.

Mbunge huyo amefukuzwa wakati Spika Job Ndugai akimwagiza Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA), afike mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge leo saa 8:00 mchana kujibu tuhuma zinazomkabili za kulidharau na kulidhalilisha Bunge.

Pia Spika Ndugai alidai huenda Lema ana msongo wa Mawazo kwani ana deni la Sh. Milioni 644 tangu aingie Bungeni.
Hapo awali Spika Ndugai alionya kuwa, 'Bunge hili si dhaifu na kama mtu yeyote atajaribu kuingia kwenye 18 zetu anaalikwa kwenye mchezo huu'. hivyo kuelekea
uchaguzi
SHARE

Author: verified_user

0 Comments: