Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia mabao yote matatu Real
Madrid dakika za 47, 76 na 90 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Athletic
Bilbao kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Santiago
Bernabeu mjini Madrid.
Baada ya ushindi huo katika mchezo wa 33, Real Madrid inafikisha pointi
64 ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi nne na mahasimu wao wa
jiji, Atlético Madrid ambao kwa pamoja wapo nyuma ya vinara, Barcelona
wenye pointi 77 za mechi 33 pia.
0 Comments:
Post a Comment