Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP DR. REGINALD ABRAHAM MENGI,
amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, amefariki akiwa Dubai, U.A.E.
Tunatoa pole kwa ndugu zetu wa IPP, Familia ya Marehemu na wote walioguswa na msiba huu.
Mungu ailaze roho ya Marehemu , mahali pema, peponi.
Tunatoa pole kwa ndugu zetu wa IPP, Familia ya Marehemu na wote walioguswa na msiba huu.
Mungu ailaze roho ya Marehemu , mahali pema, peponi.
- Tataendelea kukujuza kila kinachoendelea juu ya Msiba huu..
0 Comments:
Post a Comment