Mchezaji wa Man City, Raheem Sterling ametwaa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa Ligi Kuu ya Uingereza mwaka 2018/19.
Nyota huyo wa Man City amechaguliwa kuwa mwanasoka bora wa mwaka wa chama cha waandishi wa habari za mpira wa miguu Uingereza (FWA).
Utakumbuka mwaka 2014 Sterling alipata tuzo ya Golden Boy, tuzo ambayo ilimtambulisha kama mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21 anayecheza soka Ulaya.
0 Comments:
Post a Comment