Monday, April 29, 2019

VIDEO: Goodluck Mlinga ambana Waziri live Bungeni,matumizi ya Dawa za nguvu za kiume

SHARE



Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga ameihoji Serikali kutokana na ongezeko la matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume ambapo ametaka kujua kama dawa hizo zimethibitishwa kiafya kupitia kwa mamlaka husika.
SHARE

Author: verified_user

0 Comments: