Monday, April 29, 2019

Watu 27 wafariki kwa kunyweshwa jik kanisani, wengine 18 walazwa

SHARE

Inaripotiwa kuwa Watu takriban 27 wamefariki dunia nchini Zambia baada ya kunyweshwa dawa ya kuondoa madoa 'jik' wakiwa kanisani.

Licha ya vifo hivyo, pia waumini wengine 18 hali zao si nzuri, na bado wapo hospitali wakipatiwa matibabu.

Kitendo hicho kimefanya na mchungaji wa kanisa la kilokole la 'AK Spiritual Christian Church' lililopo Limpopo nchini humo.

Kwa mujibu wa jarida la Zambia Observer mchungaji Phala aliwaambia waumini wake kuwa jik hiyo inaondoa mapepo, hivyo akaanza kuwanywesha kwa nia ya kuwaombea mapepo.
SHARE

Author: verified_user

0 Comments: