Thursday, May 2, 2019

Mechi 10 walizobakiza Simba SC Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL)

SHARE

Hizi ndizo mechi 10 walizobakiza Simba SC katika Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kwa msimu wa 2018/19.

Pia siku ya leo kikosi hicho kitaondoka Dar es Salaam kwenda Mbeya ambako kitacheza mechi mbili za Ligi Kuu dhidi ya Mbeya City na Tanzania Prisons.
SHARE

Author: verified_user

0 Comments: