VIDEO: Msaidizi wa Dkt.Mengi aelezea ratiba ya mazishi Yake by Maguluacademy on May 02, 2019 0 Comment SHARE Msaidizi wa Aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, DR. Reginald A. Mengi, amesema kuwa hadi sasa bado hawajapanga ratiba ya mazishi kwani bado wanafamilia hawajakaa vikao vya kufanya maamuzi hayo.
0 Comments:
Post a Comment